Latest Updates

Mzazi Awatishia Mabinti zake Wasipo Olewa Hadi Machi Wajiandae Kugegedwa na yeye

Wadau nimeombwa kwenda kusuluhisha mgogoro
wa familia ya jirani kesho asubuhi. Katika hali
isiyo ya kawaida mabinti watatu wa familia
wamenijia usiku huu,kwamba baba yao
amewatishia kwamba ifikapo machi wawe
wameolewa wote vinginevyo....
atawagegeda wote watatu kila mmoja kwa muda
wake.
Mabinti hao mmoja ana miaka 30 , wa pili 27 na
wa mwisho 24 . Maelezo ya mabinti hao
wanasema kweli mzazi wao huyo kadhamiria
kwani mara nyingi mama yao anapokuwa hayupo
wakipita karibu naye huwa anawapiga kofi kwenye
makalio .
Hao mabinti wameeleza matukio mbalimbali
ambayo yanaonyesha dhahiri kwamba baba yao
amedhamiria kweli kuwagegeda kama atapata
nafasi .
Huyu binti wa kati ameeleza kwamba mara kwa
mara babake huwa anamsifia kwamba ana
makalio makubwa yanayopendeza na kuna siku
alimwita chumbani ampelekee maji akamshika
mkono bahati nzuri akakimbia.
kila binti ameshawahi kukutana na maswahibu
hayo. Kinacho onekana kumponza mzee huyo ni
tamaa zake tu za kishetani wazee wa kidigitali ni
shida.
Sasa nimeona kabla sijafanya lolote
niwashirikishe wadau.

0 Response to " Mzazi Awatishia Mabinti zake Wasipo Olewa Hadi Machi Wajiandae Kugegedwa na yeye"

Post a Comment