Latest Updates

Nimekusogezea hapa ratiba ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya Leo November 3 na 4 pamoja na msimamo wa makundi nane #Usipitwe


Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea tena Jumanne ya November 3 na Jumatano November 4 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya. Mechi za November 3 na 4 zimebadilika kidogo muda wa kuanza kwa mechi hizo kwani mechi nyingi zitaanza saa 22:45 usiku na sio saa 21:45 ila mechi ya FC Astana dhidi ya Atl Madrid itaanza Saa 18:00.


Mechi za November 3 ambazo zitachezwa Saa 22:45 kasoro mechi ya FC Astana Vs Atl Madrid ambayo itachezwa Saa 18:00


Mechi za November 4 zote zitachezwa saa 22:45

Msimamo wa makundi kabla ya mechi za November 3 na 4







0 Response to "Nimekusogezea hapa ratiba ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya Leo November 3 na 4 pamoja na msimamo wa makundi nane #Usipitwe"

Post a Comment