Timu ya taifa ya Ivory Coast imenyakua kombe la mataifa ya Afrika, AFCON 2015 kwa kuitandika timu ya Ghana kwa mikwaju ya penalti mjini Bata, Equatorial Guinea. Ivory Coast imeshinda kombe hilo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1992.
Mlinda mlango nambari mbili wa Ivory Coast ndiye aliyeipa ushindi timu yake
Ghana walipata penalti 8 huku Ivory Coast wakishinda kwa penalti 9. Tazama picha
Yaya Toure akishangilia baada ya kukabidhiwa taji lao
0 Response to " Picha: Ivory Coast yatwaa kombe la AFCON 2015"
Post a Comment