Home » Uncategories » BREAKING NEWS: MHESHIMIWA MBUNGE, DEREVA NA MLINZI WAKE WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI
BREAKING NEWS: MHESHIMIWA MBUNGE, DEREVA NA MLINZI WAKE WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI
MP short dead
Mbunge mmoja ameuawa kwa kupigwa risisi kwenye mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
Ripoti za polisi zinasema kuwa mbunge huyo wa Kabete, eneo lililo nje kidogo ya mji wa Nairobi aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
Walinzi wake wawili, dereva pia nao wameuawa.
Polisi wanasema kuwa watu waliokuwa na silaha walilifuata gari la mbunge huyo kutoka eneo la Westlands kabla ya kulimiminia rasasi ndani ya mji wa Nairobi.
Posted by Astalavista
on Saturday, February 7, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to " BREAKING NEWS: MHESHIMIWA MBUNGE, DEREVA NA MLINZI WAKE WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI"
Post a Comment