Home » Uncategories » BREAKING NEWS: JINAMIZI LA VIFO LAENDELEA BONGO MUVI...'MAMA MASHAKA' WA KAOLE AFARIKI DUNIA!
BREAKING NEWS: JINAMIZI LA VIFO LAENDELEA BONGO MUVI...'MAMA MASHAKA' WA KAOLE AFARIKI DUNIA!
MSANII wa maigizo aliyewahi kuwika na kundi la Kaole Sanaa Group, Mwajuma Abdallah ‘Mama Mashaka’ amefariki dunia.
Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar.
Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa.
Posted by Astalavista
on Saturday, February 7, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to " BREAKING NEWS: JINAMIZI LA VIFO LAENDELEA BONGO MUVI...'MAMA MASHAKA' WA KAOLE AFARIKI DUNIA!"
Post a Comment