Latest Updates

#Headline nyingine tena Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo

Ommy Dimpoz ameshinda tuzo ya African Entertainment Awards zilizofanyika Jumamosi hii huko New Jersey, Marekani.

Ommy Dimpoz, Mubenga na DMK wakiwa red carpet

Ommy aliyetumbuiza pia kwenye tuzo hizo alishinda kipengele cha People’s Choice Award.

Kufuatia ushindi huo, muimbaji huyo aliandika kwenye Instagram, “ Thank you my people for your Votes U made this Possible #PeopleChoiceAward @africanentertainmentawards #NewMusicComingSoon.”

Waandaji wa tuzo hizo hadi Jumapili walikuwa hawajatoa orodha nzima ya washindi.

Katika hatua nyingine hitmaker huyo wa ‘Wanjera’ na muimbaji wa Uganda, Eddy Kenzo, wameingia studio kurekodi wimbo pamoja.

Ommy alishare kipande kifupi cha video kwenye Instagram kinachomuonesha Kenzo akiingia sauti za wimbo huo huku Ommy akisikika akimpa maelekezo kadhaa ya kuboresha vionjo vya wimbo huo.

Wawili hao walikutana Marekani walikoenda kuhudhuria tuzo hizo ambapo Eddy naye alishinda.
Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!













Add a comment

0 comments







Related Itemsbongo








You may also like...






Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu






Faiza Ally asema huenda ana ujauzito wa mpenzi wake Mmarekani






Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’


← Previous Story Mahaba ya Wana Dar yamfanya Wizkid aahidi show ya bure, lakini…




Next Story → Cassim adai Babu Tale hakuwa ‘kiongozi’ wakati yupo Tip Top








Follow us

104738followers
437366likes
0subscribers
74043followers
19596posts

Now Trending
Swizz Beatz, Ne-Yo, Davido wampongeza Diamond kwa ushindi wa MTV EMA 10,925 views
Picha: Wema Sepetu afunga ndoa na Luis Munana wa Namibia, ni movie tena? 10,467 views
Instagram waifungia akaunti ya Idris Sultan, aeleza kilichosababisha 9,967 views
Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu 8,649 views
Kama unashindana na sisi, unapoteza tu muda – P-Square 7,631 views

Most popular stories
Video: Jionee scene za mapenzi (sex) zinavyochukuliwa kwenye filamu za Hollywood 254,985 views
Video ‘chafu’ ya Agnes wa Masogange inamuonesha mwanamke kama chombo cha starehe 163,282 views
Mkanda wa ngono wa Zari The Bosslady wavuja! 148,471 views
Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli! 88,413 views
New Music: Diamond Platnumz – Nasema Nawee 69,994 views

Older posts Archives Older posts Archives







Copyright © 2006-2015 Bongo5 Media Group.

Home
Privacy Policy
Search
Contact Us

0 Response to "#Headline nyingine tena Ommy Dimpoz ashinda tuzo Marekani, aingia studio kurekodi na Eddy Kenzo"

Post a Comment