Latest Updates

#DontMissThis Wema Sepetu Amefunguka haya kuhusu lipstick zake mpya #Usipitwe Jirani





Najua ni wachache wanaofanikiwa kukamilisha ndoto au malengo ya maisha yao ya baadae labda kuanzisha biashara ambayo itakua inakupa faida kupitia mtaji wako utakaoanzisha, sasa good news ninayotaka kukupatia ni hii kutoka kwa msanii wa bongo movie Wema Sepetu ambaye ndoto yake ilikuwa ni kuanzisha lipstick zenye brand ya jina lake.

Staa huyo wa Bongo Movie leo Novemba 3, 2015 kupitia kwenye akaunti yake ya instagram aliandika ujumbe wa maneno kuhusu lipstick hizo..’Imekuwa ni ndoto yangu kubwa sana kukamilisha hii project yangu ya kufunga mwaka…. Safari yetu ilianza Last year mwezi wa 10 tulivyosafiri kwenda China mimi pamoja na kaka manager Martin Kadinda as well as my toto Ila we all know nothing comes easy na mambo mazuri hayataki haraka… Sikutaka kutoa kitu kibovu kwa mashabiki wangu naPetiman na wapenzi wangu’ – Wema Sepetu

‘Napenda sana kutoa shukrani zangu za dhati kwa my kaka Eric kwa kuwezesha bidhaa zangu kufika salama na kufanikisha kila process iliotakiwa kufanyika ama kweli ni Problem solved Kweli unajua kulitendea haki jina lako,Tunaanza mdogo mdogo… Kuna mengi yanakuja kutoka kwa Wema wenu… Tunarudi kwenye msemo wetu wa 2015 A walk to Remembe.Ninachohitaji kwenu ni dua zenu na mniombee kheri nizidi kuwafurahisha… Hakuna Kurudi nyuma… Wazungu wenyewe wanasema No Turning Back’ – Wema Sepetu



.


.


.


.


.
Imekuwa ni ndoto yangu kubwa sana kukamilisha hii project yangu ya kufunga mwaka.... Safari yetu ilianza Last year mwezi wa 10 tulivyosafiri kwenda China mimi pamoja na kaka manager @martinkadindaofficial aswell as my toto @petitman_wakuache .... Ila we all know nothing comes easy na mambo mazuri hayataki haraka... Sikutaka kutoa kitu kibovu kwa mashabiki wangu na wapenzi wangu... It was a process... Napenda sana kutoa shukran zangu za dhati kwa my kaka Eric @mrproblemsolved kwa kuwezesha bidhaa zangu kufika salama na kufanikisha kila process iliotakiwa kufanyika... Ama kweli ni Problem solved.... Kweli unajua kulitendea haki jina lako.... Team nzima ya Problem solvers, I couldnt have done this without you.... Tunaanza mdogo mdogo... Kuna mengi yanakuja kutoka kwa Wema wenu... Tunarudi kwenye msemo wetu wa 2015 A walk to Remember..... Ninachohitaji kwenu ni dua zenu na mniombee kheri nizidi kuwafurahisha... Hakuna Kurudi nyuma... Wazungu wenyewe wanasema No Turning Back.... #Godwin...!
A photo posted by đź‘„wemasepetuđź‘„ (@wemasepetu) on

0 Response to " #DontMissThis Wema Sepetu Amefunguka haya kuhusu lipstick zake mpya #Usipitwe Jirani"

Post a Comment