Latest Updates

#Usipitwe na Hii Msanii wa Nigeria, Tekno akanusha kuwahi ‘kutembea’ na Masogange (Audio)




Msanii wa Nigeria anayehit na wimbo wake uitwao Duro amekanusha kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na Agnes Masogange.

Miezi kadhaa iliyopita ziliwahi kuwepo tetesi kuwa msanii huyo ni mmoja wa wanaume waliofaidi umbo la video vixen huyo mwenye umbo la utata.



Masogange aliwahi kupost mfululizo wa picha za Tekno kwenye Instagram kuonesha mahaba mazito kwake, hali iliyozusha tetesi kuwa wawili hao ni ‘item.’

Akiongea na Diva wa Clouds FM kwenye kipindi cha Ala za Roho, Tekno alisema yeye na Agnes ni washkaji tu.

“I never had sex with Agnes,” alisema Tekno.

Amedai kuwa urafiki wao ulikuwa wa Instagram zaidi na pamoja na kuwa walikutana nchini Nigeria hawakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi.


0 Response to " #Usipitwe na Hii Msanii wa Nigeria, Tekno akanusha kuwahi ‘kutembea’ na Masogange (Audio)"

Post a Comment