Shirikisho la soka Uingereza FA limetangaza kumuadhibu kocha huyo kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha kwa muamuzi wa mehi ya Chelsea dhidi ya West Ham United. Mourinho aliamuliwa na muamuzi Jonathan Moss kutoka katika benchi kutokana na kauli alizokuwa anazitoa mbele ya refa huyo wakati wa mapumziko.
Awali Mourinho alipigwa faini ya pound 50,000 na kufungiwa mchezo mmoja baada ya kutenda kosa la kutoa kauli mbovu kwa muamuzi wa akiba, hii ilikuwa katika mechi dhidi ya Southampton October 3 ambapo Chelsea ilipoteza mchezo huo, licha ya kuwaMourinho alikata rufaa kwa kosa hilo October 26 FA wametangaza tena kumtoza fainiMourinho.
0 Response to "Unaambiwa Bado hali mbaya kwa Jose Mourinho FA watangaza adhabu hii dhidi yake…"
Post a Comment