Latest Updates

Latest News @diamondplatnumz amefunguka kuwa atawasiri Leo Mchana na Tuzo Tano #Usipitwe #KaaKaribuNaMimi


Inshaallah Panapo Majaaliwa ifikapo saa saba na dakika 25 Mchana Mwanenu natua na tuzo zote mloniagiza toka Nchini Marekani...pia Uongozi wa Escape One Mikocheni wametupa ya kufurahia kwa pamoja Tuzo hizi pale..yaani kutokea Airport kwa pamoja tuelekee direct hadi pale Ecape One ili wote tuweze Piga picha na Tunzo hizi na Kuburudika BURE KABISA!!!! Hadi tuchoke.... Tunzo Hizi ni zetu sote, Hivyo tueke Itikadi ya Vyama na Tofauti ya aina yoyote pembeni na kwa Pamoja tutangulize UTAIFA MBELE..... nimefrai sana kupokea habari kuwa ndugu zetu toka nchi za karibu kama Kenya, Uganda,
Rwanda , Burundi Congo Etc.... pia wamefika kufurahi nasi pamoja..... HIZI NI TUNZO ZA WANAMASHARIKI na AFRICA kwa Ujumla...Tukutane Airport!!!!.🙏 #BackfromAfrimma #BackFromNafca#TeamMashariki #TeamBongoflavour #MtvEma#mtvema2015

0 Response to "Latest News @diamondplatnumz amefunguka kuwa atawasiri Leo Mchana na Tuzo Tano #Usipitwe #KaaKaribuNaMimi"

Post a Comment