Ameiambia Bongo5 kuwa kama mama mara nyingi anakuwa na wasiwasi juu ya maisha ya mwanae.
“Muziki una changamoto sana kama hujakaza unaanguka,” alisema. “Nakuwaga na wasiwasi mwanangu kama akishuka! Kwa sababu washindani wapo wengi, unajifiria mwanangu sijui vipi mwaka huu? Maana kila siku kwenye magazeti ni majungu kibao kuhusu yeye na mimi. Kama mzazi nakuwaga na wasiwasi sana na mwanangu,” aliongeza.
0 Response to "#KutokaMoyoni Naogopa mwanangu asishuke kimuziki – Mama Diamond"
Post a Comment