Latest Updates

#BreakingNews Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam (Video)



Saa moja iliyopita
Wapiga kura katika eneo la Kimara Stop Over, jijini Dar es Salaam hawajafanikiwa kupiga kura kufikia sasa.


Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela ametembelea kituo hicho na anasimulia yanayojiri.

0 Response to "#BreakingNews Uchaguzi wakwama Kimara Dar es Salaam (Video)"

Post a Comment