Latest Updates

Picha sita zinazoongelewa zaidi kutoka kwenye #grammy2015,Kanye West na Kim K wapo.






Kanye West na mke wake Kim Kardashian wameteka vichwa vya habari baada ya tuzo za grammy kwa kuonekana wakipeana busu huku mkono wa Kanye ukiwa kwenye makalio ya Kim, hii ni picha moja kutoka kwenye hizi picha ambazo zimeonekana kuongelewa zaidi kwenye mitandao baada ya tuzo za grammy zilizofanyika jumapili iliyopita.






0 Response to "Picha sita zinazoongelewa zaidi kutoka kwenye #grammy2015,Kanye West na Kim K wapo."

Post a Comment