Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema kuwa baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo hakuna dhambi kwa wema kula raha na alikuwa shemeji yake, huku wengine wakisema wawili hao wanakosea kwasababu Ommy na Diamond ni marafiki wa karibu sana na kutilia mashaka kuwa pengine inawezekana walikuwa wakitamaniana toka enzi za Wema alipokuwa na Diamond.
Ila team Wema wengi wanasema sasa ndio muda wa bidada nae kupata kitumbo…tena Ommy ni HB kushinda jamaa
0 Response to "PENZI LA WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ LAZIDI KUCHANUA SASA LAHAMIA KITANDANI"
Post a Comment