Latest Updates

NIMEMKUTA MUME WANGU AKIFANYA NGONO LIVE NA HOUSE GIRL WA JIRANI YETU


Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha kilomita moja toka nyumbani..........

Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi?
NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU...

0 Response to "NIMEMKUTA MUME WANGU AKIFANYA NGONO LIVE NA HOUSE GIRL WA JIRANI YETU"

Post a Comment