Latest Updates

NIMEM MISS MUME WANGU..MAMA MKWE KAJA ANA MWEZI NA HANA DALILI YA KUONDOKA TUNAISHI CHUMBA KIMOJA.



Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.


Na kuna watu makini wa kunisaidia.


Wapenzi nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.


Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.


Na alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.


Anaogopa kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi kuondoka kwenda kwao Morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.

0 Response to " NIMEM MISS MUME WANGU..MAMA MKWE KAJA ANA MWEZI NA HANA DALILI YA KUONDOKA TUNAISHI CHUMBA KIMOJA."

Post a Comment