Katika hali ya kushangaza msanii wa Bongo Hip Hop,Nay Wa Mitego ametetea video ambazo hazina maadili zinazoonyesha wasichana wakiwa nusu utupu.Picha kadhaa zimevuja kwenye mitandao ya kijamii zikumuonyesha msanii huyo akiwa kimahaba na msichana kitandani zikimaanisha kuwa kuna video yake mpya inakuja.
Akizungumzia kama BASATA wakiifungia video hiyo wakati ametumia gharama kubwa alisema kuwa hajali kwa lolote ila yeye yuko tayari kwa lolote.
Video hiyo ambayo itatoka hivi karibuni inaitwa ‘only one’.
0 Response to "Nay: Video za wasichana wakiwa wamevaa nusu ‘’Utupu’ zinauza kibiashara"
Post a Comment