Latest Updates

Mapacha hawa wanapendana, waliona waungane pia kwenye ndoa moja…


Tumezoea kuona pacha wengi wakishare mambo wanayopenda kwa pamoja, kitu kama aina ya mavazi wanayovaa na vinginevyo, iliwahi kutokea story ya mapacha walioolewa na pacha wenzao Tanga.

Kutoka Afrika Kusini mapacha wawili wanawake, Owami na Olwethu wenye umri wa miaka 26 wameingia kwenye headline kutokana na kukubaliana kuolewa na mwanaume mmoja, Mzukiseni Mzazi ambapo mapacha hao wamesema walikuwa wakishirikiana kwa mambo mengi tangu wakiwa wadogo huku wakiwa na ndoto ya kuolewa na mwanaume mmoja.

0 Response to "Mapacha hawa wanapendana, waliona waungane pia kwenye ndoa moja…"

Post a Comment