Hirizi lenye picha ya Diamond
SEKESEKE la nguvu limeibuka nyumbani kwa mrimbwende anayepanda na kushuka katika chati Wema Sepetu 'Madam' pale kulipoonekana hirizi kubwa pamoja na picha ya Diamond 'ex-lover' wake na ujumbe wenye maandishi yanayosadikika ni ya kiarabu ingawa hakuna aliyeweza kuyasoma, huenda ni kwa hofu iliyowashika...!!!
Wabongo kama kawaida walianza kuhubiri ya kwao wakidai ni mtu anayetaka Wema na Diamond warudiane na wengine kudai hapana wasirudiane...!
Wema alipoulizwa kama siku tatu baadae alionesha kushangaa kana kwamba hajui kitu... je ni danganya toto? kama ndio ni janja ya kuendelea kumsaka Diamond? kama sio... kwanini asijulishwe mambo kama hayo yaliyovuta wapenda ubuyu kibao langoni kwake?????

0 Response to " HIRIZI KUBWA LENYE PICHA YA DIAMOND LAKUTWA ASUBUHI GETINI KWA WEMA...!!! UJUMBE WASHTUA ROHO...!!!"
Post a Comment