Latest Updates

ANANIPA KILA KITU ILA MI SIMPENDI, NAONA HURUMA KUMUACHA


Naitwa Radhia, niko na mchumba angu ananipenda na anipa kila kitu ninacho hitaji lakini sina mapenzi nae kabisa, hata tukiduu sioni ule utamu kabisa wa penzi naona kama najilazimisha tu, ni mwanaume poa tu ila kwakweli simpenzi nimejaribu kila namna labda naweza kujenga mapenzi kwake lakini imeshindikana, Nakumuacha naogopa namuonea huruma, Sijui nifanyaje na nikisema niendelee kuwa nae nitakuwa kama mtumwa tu siitendei haki nafsi yangu.

0 Response to " ANANIPA KILA KITU ILA MI SIMPENDI, NAONA HURUMA KUMUACHA"

Post a Comment