Huyu dada nilifanya naye kazi kwa miezi kadhaa nilipomaliza chuo hapa Bongo, baadaye nikahamia Zambia ambapo ndipo nafanya kazi mpaka sasa. Tulipokuwa wote Dar alikuwa rafiki yangu mkubwa ofisini lakini hatukuwa wapenzi japo nilkuwa nikimtamani sana.
Sasa nimerudi Bongo kwa likizo, nikamtumia message na akakubali tuonane .
Dah nilipomona amekuwa mrembo maradufu na akanieleza kuwa anaolewa mwaka huu, matumaini ya kumpata yakayeyuka.
Juzi usiku nikaamua kumtumia meseji ''Hujui tu ila nakutamani sana''...
Alichoijibu'' Usijali, for you I can anything''.
Nikamweleza ukweli basi akaridhia kunitunuku.
Likizo imekua tamu sana maana napewa service kila siku.
Video itafuata baada ya kuakiksha sura zetu hazionekani maana ni mke mtarajiwa huyu....
Likizo imekua tamu sana maana napewa service kila siku.
Video itafuata baada ya kuakiksha sura zetu hazionekani maana ni mke mtarajiwa huyu....
fine
ReplyDelete