Latest Updates

Jide | KAZI YA MUZIKI NI NZURI SANA NILIKUJA MJINI NA ELFU 6 TU NIMERUDI NYUMBANI MKOBA UMEJAA, ARINGISHA MIHELA ALIOTUNZWA JUKWAANI.




Msanii akishafanikiwa kuwashawishi mashabiki kulipa kiingilio na kuingia kwenye show yake, hana kazi ya ziada zaidi ya kufanya show nzuri ambayo huwafanya mashabiki wenyewe kuingia tena mifukoni na kuwatunza kwa misimbazi ya kutosha.



Lady Jaydee kupitia Instagram ametuonesha noti za msimbazi ambazo alitunzwa jukwaani na mashabiki waliohudhuria show yake ya jana pale MOG.



Kwenye picha hiyo ameandika:

“Asanteni wote mlionitunza jukwaani Nilitoka kwetu na alfu 6 Nikarudi mkoba umejaa
Kazi ya muziki nzuri jamani Ila Haka ka mkoba jana @niitesonga alikuwa anataka kuka kwapua Mi mwenyewe nna madeni kibao Nawaza nianze lipi kulilipa “





0 Response to "Jide | KAZI YA MUZIKI NI NZURI SANA NILIKUJA MJINI NA ELFU 6 TU NIMERUDI NYUMBANI MKOBA UMEJAA, ARINGISHA MIHELA ALIOTUNZWA JUKWAANI."

Post a Comment